SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Hakiki ushairi na fasihi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kutunga na kuhakiki kazi za fasihi simulizi

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwalimu aweze; kuhakiki kazi za ushairi katika fasihi simulizi.

5. MAIN TOPIC
UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI

6. SUB-TOPIC
3.1 Uhakiki wa ushairi

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Pili, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Matini za ushairi Kinasa sauti na Kanda zake

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Kwa kutumia matini za ushairi, kanda, kinasa sauti ongoze majadiliano ya kubaini vipengele vya maudhui ya kazi za kishairi katika fasihi simulizi Kwa kutumia matini za ushairi, kanda, kinasa sauti ongoze majadiliano ya kubaini vipengele vya maudhui ya kazi za kishairi katika fasihi simulizi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa vipengele hivyo wakizingatia hali halisi ya jamii Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa vipengele hivyo wakizingatia hali halisi ya jamii Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Ongoza majadiliano kuhusu vipengele vya fani katika ushairi wa fasihi simulizi Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa vipengele hivyo wakizingatia hali halisi ya jamii kwa mdomo na kwa kuandika. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Ongoza majadiliano kuhusu vipengele vya fani katika ushairi wa fasihi simulizi Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI- KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256